News

TIMU ya taifa ya Madagascar imeungana na Taifa Stars kutinga robo fainali ya mashindano ya CHAN, baada ya kuifunga Burkina Faso mabao 2-1, kwenye Uwanja wa New Amaan Stadium, Zanzibar.
TIMU ya taifa 'Taifa Stars' imelazimishwa suluhu na Afrika ya Kati kwenye mechi ya mwisho ya kundi B iliyopigwa katika Uwanja ...
NYOTA wa kimataifa wa Tanzania na nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta ameanza vibaya Ligue 1 baada ya kikosi ...
KLABU ya Kilmarnock inayoshiriki Ligi ya Wanawake ya Scotland imelazimika kushusha utambulisho wa mchezaji wao, Skye Stout ...
Muda mfupi baada ya kuchaguliwa kwa kishindo kuendelea kuliongoza Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), rais Wallace Karia amesema hawana muda wa kulipa kisasi.
JANA, mashabiki wa Yanga waliwaona wachezaji wao wapya akiwemo akiwemo Balla Moussa Conte, Lassine Kouma, Mohamed Doumbia na mshambuliaji wa kati Andy Boyeli kwenye mechi hiyo ya ...
MSHAMBULIAJI wa Mauritania, El Mami Tetah amefichua kwamba licha ya kupoteza mbele ya Taifa Stars katika mechi ya kundi B, ...
KIPA wa Manchester City na timu ya taifa ya Brazil, Ederson Moraes, 31, anafikiria mustakabali wake ndani ya timu hiyo ambapo ...
PAWA ya Mbosso ilivyoanza kuhiti, Baba Levo akachomoka alipokuwa na kusema Diamond alimsaidia Mbosso kuandaa hiyo ngoma. Watu ...
KOCHA wa Chelsea, Enzo Maresca amesema timu hiyo inahitaji kusajili beki mpya wa kati baada ya kumpoteza Levi Colwill kwa ...
MSHAMBULIAJI wa timu ya taifa ya Guinea, Ismael Camara amewaomba radhi mashabiki wa timu hiyo kufuatia sare ya kufungana bao ...
KIPA wa timu ya taifa ya Niger, Mahamadou Kassali amesema walipaswa kushinda dhidi ya Afrika Kusini mechi ya Kundi C kwani walipata nafasi tatu za kufunga lakini walikosa kuzitumia.