News

TIMU ya taifa 'Taifa Stars' imelazimishwa suluhu na Afrika ya Kati kwenye mechi ya mwisho ya kundi B iliyopigwa katika Uwanja ...
KLABU ya Kilmarnock inayoshiriki Ligi ya Wanawake ya Scotland imelazimika kushusha utambulisho wa mchezaji wao, Skye Stout ...
NYOTA wa kimataifa wa Tanzania na nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta ameanza vibaya Ligue 1 baada ya kikosi ...
PAWA ya Mbosso ilivyoanza kuhiti, Baba Levo akachomoka alipokuwa na kusema Diamond alimsaidia Mbosso kuandaa hiyo ngoma. Watu ...
MSHAMBULIAJI wa Mauritania, El Mami Tetah amefichua kwamba licha ya kupoteza mbele ya Taifa Stars katika mechi ya kundi B, ...
KIPA wa Manchester City na timu ya taifa ya Brazil, Ederson Moraes, 31, anafikiria mustakabali wake ndani ya timu hiyo ambapo ...
TIMU ya taifa ya Madagascar imeungana na Taifa Stars kutinga robo fainali ya mashindano ya CHAN, baada ya kuifunga Burkina Faso mabao 2-1, kwenye Uwanja wa New Amaan Stadium, Zanzibar.
KOCHA wa Chelsea, Enzo Maresca amesema timu hiyo inahitaji kusajili beki mpya wa kati baada ya kumpoteza Levi Colwill kwa ...
HABARI ndo hiyo. Arsenal imeripotiwa kuwa na mpango wa kumsajili winga wa Manchester United, Alejandro Garnacho kabla ya ...
LIGI ya Kikapu ya Marekani (NBA), imezindua ratiba ya msimu wa 2025/26 ambao utakuwa wa 80 tangu kuanzishwa unaotarajiwa kuwa ...
MSHAMBULIAJI wa timu ya taifa ya Guinea, Ismael Camara amewaomba radhi mashabiki wa timu hiyo kufuatia sare ya kufungana bao ...
RAIS wa TFF Wallace Karia amesema Uwanja wa Kituo cha Ufundi cha TFF, uliopo Mnyanjani jijini Tanga, umeteuliwa na FIFA kwa ...