News

Ajali hiyo ilitokea Agosti 11, 2025 wakati eneo la mduara wa mgodi likikarabatiwa na kusababisha watu 25 kufukiwa.
Mbeya. Katika kuhakikisha huduma bora za uangalizi wa watoto walizaliwa kabla ya muda, Hosptali ya Rufaa Kanda ya Mbeya ...
Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imeipongeza Jamhuri ya Watu wa China kwa kusimama imara katika kulinda amani na haki za ...
Dk Mpango ambaye anamwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano huo ametaja mafanikio kadhaa ya uenyekiti wa Tanzania ...
Baadhi ya wakazi wa Muhoji wamesema kukamilika kwa mradi huo kutamaliza changamoto kubwa ya maji waliyokuwa wakiipata.
Mpina aliyekuwa Mbunge wa Kisesa kwa miaka 20 kupitia CCM, Agosti 5, 2025 alijiunga na ACT Wazalendo na baadaye kupitishwa ...
Moshi. Mtoto wa miaka mitatu na nusu, Ivan Chuwa ameuawa kwa kukatwa shingo, mtuhumiwa akidaiwa kuwa ni kijana jirani yao kutokana na imani za kishirikina. Tukio hilo lililotokea jana Agosti ...
Amewataka wakazi wa mkoa huo kuutambua utajiri wa rasilimali walizonazo ili wazirumie kujenga uchumi wao kupitia serikali ...
Moshi. Serikali imeshachukua hatua kwa wahudumu wa afya wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro, Mawenzi wanaodaiwa ...
Tanzania na Burundi zimeweka jiwe la msingi la ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kuunganisha mataifa hayo mawili.
Maombi hayo yalifunguliwa na Jonathan Kiula, Leonard Mmbaga, Herman Kassenga, Elija Rumbe na wenzao 466 ambao walikuwa ...
Geita. Wazazi wametakiwa kuacha tabia ya ‘kufuga’ watoto kwa kuwapa chakula na mavazi pekee badala ya ‘kulea’ kwa kuwajengea ...