News

TIMU ya taifa ya Afrika Kusini ‘Bafana Bafana’ imebidi kusubiri mechi za mwisho za kundi C baada kutoka suluhu dhidi ya Niger huku ikilalamikia VAR mara mbili.
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, leo, Jumamosi, Agosti 4, 2025 imekataa kusikiliza shauri lingine lililokuwa limefunguliwa dhidi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) kuhusiana ...
LIGI ya Kikapu ya Marekani (NBA), imezindua ratiba ya msimu wa 2025/26 ambao utakuwa wa 80 tangu kuanzishwa unaotarajiwa kuwa ...
RAIS wa TFF Wallace Karia amesema Uwanja wa Kituo cha Ufundi cha TFF, uliopo Mnyanjani jijini Tanga, umeteuliwa na FIFA kwa ...
WANAFAINALI wa Kombe la Shirikisho Afrika msimu uliopita, Simba inaendelea kufanya maboresho kwenye kikosi hicho kwa kusajili ...
Mjumbe wa Baraza la Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), Souleyman Waberi, amempongeza rais mteule wa TFF, Wallace ...
Aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Athuman Nyamlani amebaki katika nafasi ...
Rais mteule wa Shirikisho la Soka Tanzania TFF Wallace Karia amewashukuru wajumbe wa mkutano mkuu wa uchaguzi, kwa imani yao ...
Uchaguzi wa wajumbe wa Kamati ya Utendaji umepeleka kilio kwa waliokuwa wajumbe wa Kanda Namba Moja Lameck Nyambaya na namba ...
TIMU ya Singida Black Stars inaendelea na maandalizi ya msimu ujao jijini Arusha chini ya Kocha Miguel Gamondi, huku uongozi ...
Wakati Uchaguzi Mkuu wa TFF ukiendelea jijini Tanga, Mjumbe wa Kamati ya Utendaji wa shirikisho hilo anayewania Kanda Namba ...
Katika hali ya kushangaza, mgombea wa kanda namba tatu, James Mhagama amepata changamoto ya sauti ambayo imemfanya ashindwe ...