News
Dk Mwinyi, amesema kwa sasa hadhi na taswira ya utalii imebadilika kwa kasi, kutokana na hali hiyo imesababisha kuchipuka kwa miradi mingi ya ukodishaji nyumba kupitia mitando na watoa huduma.
Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa na Kamishna Jenerali wa Magereza, Jeremiah Katungu leo Agosti 15, 2025, vijana watakaokidhi vigezo watapaswa kuomba kupitia mfumo wa ajira wa Jeshi la Magereza ...
Miezi miwili baada ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) kuanza kutumia mfumo wa utambulisho wa barua za makazi ...
Wiki hii kumekuwa na mjadala unaomhusisha Diamond Platnumz akitajwa kuandika asilimia 50 ya wimbo wa Mbosso, Pawa (2025), ...
Rais wa Klabu ya Yanga, Hersi Said ameshindwa kupenya katika mchujo wa majina 13 ya wagombea ubunge Jimbo la Kongwa.
Ilani inaeleza mikataba yote ya zamani, ya sasa na inayokuja itakuwa wazi kwa umma na hakuna leseni ya uchimbaji ...
Vitendo hivi kwa mujibu wa wataalamu wa afya vinaweza kuathiri ukuaji wa mifupa, mishipa na viungo vya watoto ambavyo bado ...
Dar es Salaam. Mbele yangu nina nakala ya barua iliyoandikwa tarehe 12 Julai, 1971 kwenda kwa uongozi wa bendi ya Polisi.
Mjumbe wa Baraza la Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), Souleyman Waberi, amempongeza rais mteule wa TFF, Wallace ...
Uchaguzi wa wajumbe wa Kamati ya Utendaji umepeleka kilio kwa waliokuwa wajumbe wa Kanda Namba Moja Lameck Nyambaya na namba ...
Dar es Salaam. Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), imeadhimisha miaka 10 tangu kuanzishwa kwake, ikieleza mafanikio ...
Aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Athuman Nyamlani amebaki katika nafasi ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results