News

Dk Mwinyi, amesema kwa sasa hadhi na taswira ya utalii imebadilika kwa kasi, kutokana na hali hiyo imesababisha kuchipuka kwa miradi mingi ya ukodishaji nyumba kupitia mitando na watoa huduma.
Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa na Kamishna Jenerali wa Magereza, Jeremiah Katungu leo Agosti 15, 2025, vijana watakaokidhi vigezo watapaswa kuomba kupitia mfumo wa ajira wa Jeshi la Magereza ...
Miezi miwili baada ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) kuanza kutumia mfumo wa utambulisho wa barua za makazi ...